RMOP Tanzania Logo
Hero Background

Mtandao wa Sala wa Baba Mtakatifu Ulimwenguni

USHIRIKA WA KIPAPAMTANDAO WA WANAOSALIMITUME PALE TULIPO

Mtandao wa Sala wa Baba Mtakatifu Ulimwenguni

Mtandao wa Sala wa Baba Mtakatifu Ulimwenguni ni Ushirika wa Kipapa (Pontifical Society) unaolenga kuwahamasisha waamini Wakatoliki kote ulimwenguni kukabiliana na changamoto za ulimwengu na za Utume wa Kanisa kwa njia ya sala na matendo mema. Hii hufanyika kwa kuongozwa na Nia za Sala za Baba Mtakatifu anazotoa kila mwezi kwa Kanisa lote.

Morning Sunrise

KUSALI NA PAPA ASUBUHI

Afternoon Sun

KUSALI SALA YA MCHANA

Evening Moon

KUSALI SALA YA JIONI

Video ya Papa

Kila mwezi, Baba Mtakatifu hutoa video maalum inayowasilishaNia ya Sala ya Mwezi. Video hii inalenga kuwaunganisha waamini kote duniani katika sala moja, wakitafakari juu ya changamoto halisi za binadamu na utume wa Kanisa.

Kupitia ujumbe huu wa moja kwa moja kutoka kwa Papa, tunaunganishwa katika Sala ya kimataifa, tukihamasishwa kuishi Injili kwa vitendo na kuchangia matumaini, amani, na mshikamano katika ulimwengu wetu.

Ungana Nasi kwa Kusali Mtandaoni